Kwa Marekani leo ni SIKU YA MARTIN LUTHER KING JRHuyu sio MARTNI LUTHER yule m…


Kwa Marekani leo ni SIKU YA MARTIN LUTHER KING JR

Huyu sio MARTNI LUTHER yule mjerumani na muanzilishi wa kanisa la kilutheri(kwa Tanzania ni KKKT) bali huyu ni mmarekani mweusi ambaye pia alipata jina hilo kutokana na kazi yake ya uchungaji, utumishi wa mungu.

Pia kutokana na roho yake ya kizalendo akaona asiishie tu kulihubiri neno la mungu, aliamua kufanya kazi ya harakati(activist). Alipigania mambo mbalimbali yakiwemo haki za wamarekani weusi, hali za maisha za masikini, nk.

Siku moja katika harakati zake aliwahi kutabiri katika hotuba yake maarufu ya “I HAVE A DREAM” kuwa siku moja marekani itakuja kutawaliwa na RAIS MWEUSI. Utabiri huu ukatimia pale BARACK OBAMA alipochaguliwa kuwa Rais wa marekani mwaka 2008.

Sote tunajua mshahara wa kusimamia haki huwa ni MAUTI. Nae aliuawa mnamo 4-4-1968. Wakati huo Tanzania ndio Tunahangaika ku adopt UJAMAA.

James Earl Ray aliyemuua king alihukumiwa kifungo cha miaka 99 jela. Nae alifariki kwa ugonjwa wa ini(hepatitis) mwaka 1998, wakati huo tanzania imesha adopt MULTIPARTISM democracy kwa mara ya pili.

In 1968, King was planning a national occupation of Washington, D.C., to be called the Poor People’s Campaign, when he was assassinated by James Earl Ray on April 4 in Memphis, Tennessee. King’s death was followed by riots in many U.S. cities. Ray, who fled the country, was arrested two months later at London Heathrow Airport. Ray was sentenced to 99 years in prison for King’s murder, and died in 1998 from hepatitis while serving his sentence.

Aliyemuua king naye alikufa. Binadamu mwenye mwili wa nyama si chochote si lolote, ni mavumbi tu.

Hayati mchungaji king ni alama ya harakati. Mchungaji kakobe shikilia hapohapo, usilegeze.
#martinlutherkingjrday
#ynwaSource

Updated: January 19, 2018 — 6:06 am

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *